![]() |
| Twite wakati akisaini mkataba uliopita |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakimkejeli aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba kwa kushindwa kumsajili Twite siku Twite aliposaini Yanga |
![]() |
| Shabiki wa Yanga akijongea uwanjani |
Beki mkabaji wa Yanga Mbuyu Twite amegoma kuongeza mkataba mpya na mabigwa hao wa zamani wa VPL. Habari ambazo sio rasmi toka ndani ya klabu hiyo zinasema mchezaji huyo bado anaidai klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani na Twiga fedha (signing fee) ya usajili uliopita ambazo baso hajamaliziwa. Kwa sasa Twite anawindwa na klabu za Simba SC na Azam FC zote za Dar es salaam.



No comments:
Post a Comment