 |
Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC Sheikh Said Muhammed kushoto akimkabidhi jezi Wawa (Picha
kama ilivyo katika mtandao wa klabu hiyo) |
Klabu ya soka ya Azam FC imekamilisha usajili wa beki Sergio Wawa kutoka Elmeirreickh ya Sudan. Raia huyo wa Senegal anakuja kuongeza nguvu katika ukuta imara wa mabingwa hao watetezi wa Vodacom Premier League (VPL) wanaonolewa na Mcameroon Joseph Omog ambaye itamlazimu kupunguza mcehezaji mmoja wa kimataifa katika kikosi chake kuruhusu Wawa kucheza.
 |
| Wawa (wakati akiwa El Merreickh) akimkaba Thiago wa Buyern Muenchen timu hizo zilipopambana katika mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Al Saadjijini DOHA Qatar mapema mwezi januari mwaka huu (Picha na mtandao wa Get Image) |
No comments:
Post a Comment