Baada ya kuepuka paparazzi paparazzi wote majira ya joto waliokuwa kikwazo kwake "kujitokeza hadharani" katika video mbili akionesha tu uso wake, Kim Kardashian hatimaye ajitokeza hadharani siku ya Jumatano.
Na yeye hakuwa peke yake-Kanye West na mtoto wao wa miezi 2 , North West, walikuwa pamoja naye. watatu hawa hawakuwahi kupiga picha ya pamoja tangu kuzaliwa kwa North mnamo Juni 15.
No comments:
Post a Comment