Monday, November 26, 2012

HII NI KITU NYINGINE

Kulia ni kabla na kushoto ni baada ya pambano
Andre Berto akiwa mazoezini
Anavyoonekana Andre Berto mara baada ya kupata kichapo kitakatifu toka kwa Robert Guerrero katika pambano la raudi 12 usiku wa kuamkia jumamosi. Bingwa huyo wa dunia wa zamani wa ‘Welterweight’ alipigwa kwa pointi 116-110 

No comments:

Post a Comment