California , Marekani
Mavazi ya Michael Jordan
yawa kituko kwenye viwanja vya mchezo wa golf. Tangu ajiunge na mchezo huo
amekuwa akivaa mavazi ambayo yanaonekana kuenda kinyume na utaratibu au
utamaduni wa mavazi ya staha ya wachezaji wa mchezo huo

No comments:
Post a Comment