Friday, November 30, 2012

MAVAZI YA MICHAEL JORDAN YACHAFUA HEWA KWENYE GOLF


California , Marekani
Mavazi ya Michael Jordan yawa kituko kwenye viwanja vya mchezo wa golf. Tangu ajiunge na mchezo huo amekuwa akivaa mavazi ambayo yanaonekana kuenda kinyume na utaratibu au utamaduni wa mavazi ya staha ya wachezaji wa mchezo huo


No comments:

Post a Comment